Uwanja wa michezo wa Naivasha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Naivasha stadium)

Uwanja wa Naivasha ni uwanja maalum wa soka uliopo katika mji wa Naivasha, nchini Kenya. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Karuturi Sports na Oserian F.C., zote hushiriki katika Ligi Kuu ya Kenya. Uwanja huu una uwezo wa kuhimili idadi ya watu 5,000(Elfu tano). Uko pembeni ya Barabara ya Ziwa Moi Kusini. Uwanja huo umepewa jina la utani Old Trafford, kufuatana na uwanja wa nyumbani wa kilabu Manchester United F.C. inayo shiriki (Ligi Kuu ya Uingereza)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Naivasha kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.