Naheed Farid
Mandhari
Naheed Farid ni mwanasiasa wa Afghanistan. Yeye ni mshiriki mdogo kabisa katika bunge la Afghanistan.Kwa kuhofia maisha yake, alikimbia Afghanistan baada ya serikali ya Afghanistan kuanguka na Taliban kuchukua udhibiti.[1][2][3][4]
Marejeo.
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "'The Taliban would've killed me if they found me'", BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2022-03-24
- ↑ "Many Prominent Afghan Female Leaders Have Fled Or Are Now Hiding". NDTV.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-24.
- ↑ "Afghanistan: The View From Parliament | Wilson Center". www.wilsoncenter.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-24.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2021-11-15. Iliwekwa mnamo 2022-03-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Naheed Farid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |