Nenda kwa yaliyomo

Nadia Al-Gindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nadia Al-Gindi
Amezaliwa Nadia Al-Gindi

Alexandria
Nchi Misri

Nadia Elgend (pia huandikwa kama Nadia El Gendi, alizaliwa mnamo mwaka 1946 [1] katika mji wa Alexandria) nchini Misri, ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu. Anajulikana sana nchini Misri kama ‘’’Negmet El gamaheer"' kwa sababu ya mafanikio makubwa ya filamu zake mnamo miaka ya 1990.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "نادية الجندي - ليالينا", ليالينا. (ar) 
  2. The Cambridge Companion to Modern Arab Culture. Reynolds, Dwight Fletcher, 1956. Cambridge. 2015-04-02. uk. 167. ISBN 9780521898072. OCLC 894670642.{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link) CS1 maint: others (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadia Al-Gindi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.