Nenda kwa yaliyomo

Na D'Souza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Na D'Souza ( jina la kuzaliwa Norbert D'Souza; 6 Juni 19375 Januari 2025) alikuwa mwandishi wa riwaya katika lugha ya Kikannada. Alikuwa Rais wa Mkutano wa 80 wa Fasihi ya Kannada uliofanyika Madikeri mwaka 2014. [1]

  1. "Na D'Souza to chair Kannada literary fest", 4 December 2013. Retrieved on 4 December 2013. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Na D'Souza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.