N.E.M.A, Kenya
Mandhari
NEMA ni shirika la serikali lililowajibika na usimamizi wa mazingira, na sera ya mazingira, nchini Kenya. Nema iko katika jiji la Nairobi.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Angalia Pia
[hariri | hariri chanzo]- Usimamizi wa mazingira
- Ratemo Michieka mkurugenzi wa zamani wa Nema