Mwanzo (albamu)
Mandhari
Mwanzo ni albamu ya kwanza ya kikundi la sauti Sol kinachoundwa na vijana wa Kenya wanaofanya muziki wa Kiafrika.
Albamu hii ilizinduliwa mnamo 4 Agosti 2009 chini ya Penya records. [1]
Imejumuisha maandiko kama "lazizi" iliyotolewa kama wimbo wa kwanza kwenye albamu hii,nyimbo hii ilijizolea umaarufu kwa mashabiki na kufanya wanamuziki wengine wafanye kava za nyimbo hii kwa namna yao. nyimbo hii inahusiana na mwanaume mmoja mwenye maisha yakawaida akiomba namba za simu kwa mwanadada na akapanga kuwa nae kimahusiano.nyimbo hii ilijizolea umaarufu na kutengeneza maelfu ya mashabiki katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.