Mwanzo/test3

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lamu ni mji mkubwa wa kisiwa cha Lamu kwenye pwani la Kenya mwenye wakazi mnamo 10,000. Mji ni pia makao makuu ya Wilaya ya Lamu. Mji upo kando la kanali inayotenganisha visiwa vya Lamu na Manda.