Nenda kwa yaliyomo

Mwamba wa Malunde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwamba wa Malunde ni jabali kubwa lililochomoza kwenye maji ya Ziwa Viktoria (Nyanza).

Mwamba huo ni maarufu Jijini Mwanza na Tanzania kwa ujumla na hata Duniani kote kwani wengi wanaufahamu kuwa Mwamba wa Bismark.

Hivyo basi mwamba huo ni kivutio kikubwa cha utalii kwani watu kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu huja kutalii, kwa kujifunza pia kujiburudisha wakiwemo wanafunzi wa vyuo kufanya tafiti mbalimbali za miamba.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwamba wa Malunde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.