Mwamba Productions
Mandhari
Mwamba Productions | |
---|---|
![]() | |
Imeanzishwa | 2004 |
Mwanzilishi | Miikka Mwamba |
Ilivyo sasa | Inafanya kazi |
Aina za muziki | Mbalimbali |
Nchi | Finland Tanzania |
Mahala | Lohja |
Tovuti | Tovuti rasmi |
Mwamba Productions ni studio ya kufanyia rekodi za muziki kutoka nchini Ufini-Tanzania. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 2004 ikiwa na wasanii Wazungu tu, lakini baadaye ikaja kuwa na wasanii wengine pale ilipoanza kufanya kazi na wasanii wa Tanzania. Studio imeshatoa albamu kadhaa za muziki wa bongo flava na nyingine nyingi kwa nchi ya Ufini. Kwa albamu za bongo, studio imetoa albamu ya Bomoa Mipango, Mambo Jambo n.k.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mambo Jambo Ilihifadhiwa 21 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine. katika tovuti ya Miikka Mwamba
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi ya Mwamba Productions Ilihifadhiwa 21 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwamba Productions kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |