Nenda kwa yaliyomo

Mwajabu Possi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwajabu Possi ni mwanamke wa kitanzania aliyehudumu kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama mkurugenzi wa shule ya habari na mawasiliano, na kwasasa anahudumu kama mkuu wa Idara ya sayansi ya jamii kwenye tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilichopo mkoa wa Mbeya.[1]

Mnamo mwaka 1971 alimaliza stashahada ya ualimu katika chuo cha uwalimu Chang`ombe Dae-es-salaam, 1981 alimaliza elimu ya shahada ya sanaa ya elimu katika chuo kikuu cha Dar-es-salaam,1986 alimaliza shahada ya udhamivu katika chuo cha Dar-es-salaam.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwajabu Possi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.