Mutaz Essa Barshim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanariadha Mutaz Essa Barshim
Mwanariadha Mutaz Essa Barshim

Mutaz Essa Barshim (kwa Kiarabu: معتز عيسى برشم‎, Muʿtazz ʿĪsā Baršim; alizaliwa 24 Juni 1999) ni mwanariadha kutoka Qatar anayeshindana katika mashindano ya kuruka juu na ndiye mshindi wa mashindano ya Olimpiki 2020 kwa sasa. Pia ndiye mshindi wa dunia kwa sasa na wa pili kuwa mrukaji mzuri muda wote akiwa na pointi 2.43. Alishinda dhahabu kaika michuano ya Londoni 2017 na katika michuano ya dunia huko Doha. Katika Olimpiki Barshim alishinda fedha kaika Olimpiki ya majira ya joto ya Londoni 2012, fedha kaika Olimpiki ya majira ya joto ya Londoni 2016 huko Rio na Dhahabu katika Olimpiki ya majira ya joto 2020 Tokyo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]