Mustafa Mkulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mustafa Haidi Mkulo)
Mkulo

Mustafa Haidi Mkulo (amezaliwa tar. 26 Septemba 1946) ni mbunge wa jimbo la Kilosa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mustafa Haidi Mkulo". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-04.  Unknown parameter |= ignored (help)