Nenda kwa yaliyomo

Musa Mwariama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Musa Mwariama, EBS (19281989) alikuwa kiongozi wa mapinduzi wa Kenya wa Mau Mau huko Meru na kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa Mau Mau ambaye alinusurika vita bila kuuawa au kutekwa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Njagi, David (1993). The last Mau Mau Field Marshals. Ngwataniro Self Help Group. uk. 23. Iliwekwa mnamo 2010-12-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Musa Mwariama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.