Muongozo kuhusu ndege (Umoja wa Ulaya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Muongozo kuhusu ndege, ambao hujihusisha na utunzaji wa ndege wa mwituni, uliundwa na kuasisisiwa na katiba ya Umoja wa Ulaya mnamo mwaka 2009, ukiwa na lengo kuu la kutunza ndege wote wa mwituni na makazi yao huko barani Ulaya. Halikadhalika kuunda sehemu rafiki ya utunzaji wa viumbe hao.

Ni miongoni mwa miongozo miwili inayojihusisha na utunzaji wa wanyama na mimea.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]