Mtumiaji:Yusuph de brave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yusufu Said Muramba maarufu kama Yusuph de brave ni mtangazaji wa Redio na Mwandishi wa habari amezaliwa tarehe 13 Machi 1996 huko Bunda Mara Tanzania jina lake lingine hupendwa kuitwa golden Presenter ni mtangazaji katika kituo cha habari Kiss Fm chini ya Sahara media Pia amekuwa akifahamika zaidi kwa kutoa taarifa kwenye blogu yake Bravetvonline [1] kwa habari za burudani na Michezo, Yusufu amepata umaarufu mkubwa kwa kuwa miongoni mwa watangazaji wakuaminika kwa kutoa taarifa katika mitandao ya kijamii. Mwaka 2015 alishiriki mashindano ya utangazaji yaliyoandaliwa na Clouds fm ambayo yanafahamika kama Afrika bambataa hakufanikiwa kushinda na baadae kujikita katika mitandao ya kijamii hususani Instagram , YouTube na Facebook kuonyesha uwezo wake na kufanikiwa kupata kazi a katika kituo cha habari Kiss Fm kilichopo Dar es salaam .