Mtumiaji:Waah9797/uendeshaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uendeshaji ni shughuli zinazoongozwa na harakati za gari,ikijumuisha gari,basi,pikipiki,gari za mizigo, na baiskeli.Ruhusa ya kuendesha gari kwenye barabara kuu za umma inatolewa kwa kuzingatia sheria  zinazotakiwa kufuatwa na madereva  katika eneo wanapo endesha.Neno uendeshaji ,lina etimolojia(historia ya muundo wa maneno) tangu  karne ya 15 na imejumuisha mabadiliko kutoka kutumia Wanyama kama usafiri katika karne ya 15 mpaka kutumia magari katika miaka ya 1800.Ujuzi wa uendeshaji umekuwa tangu karne ya 15 kimwili,kiakili,na kiusalama ukiwa unaendesha gari.Mageuzi haya ya ustadi unao hitajika kuendesha gari yameambatana na kuanzishwa kwa sheria za udereva ambazo zinahusiana na sio tu  kwa dereva lakini uwezo wa kuendesha gari

Marejeo[hariri | hariri chanzo]