Mtumiaji:Silastz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Silas Duguda

Duguda in 2016

chama CCM

Silas Shaltiel Duguda (anafahamika zaidi kwa jina la Silas Duguda; pia: Kagunga Boy; alizaliwa mkoani Kigoma 18 Machi 1993) ni mtunzi wa nyimbo wa Tanzania chini ya lebo yake Kagunga Boy Music records na lebo aliyokuwa akiifanyia kazi Engie SA

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Silas Duguda alizaliwa na Shaltiel Duguda na Irene Marko. Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wanne kwenye familia yao.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumiaji:Silastz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.