Mtumiaji:SALIM HAMZA MHINA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina kamili ni Salim Hamza Mhina.Muasisi na mmiliki wa Samstudio.Wasambaza wa filamu na tamthilia Mtandaoni.Zilizotafsiriwa na Madj mbalimbali Tanzania na Zisizotafsiriwa.Pia ni mmiliki wa duka la mabegi na mikoba la Onlybrinafashio Morogoro.

Ni Mzaliwa Wa Toronto Mkalamo Korogwe Tanga Tanzania Mnamo 20/08/1991.

Mwenyeji Wa Sanya Juu Siha Kilimanjaro Tanzania.

Mkazi Wa Msamvu Morogoro Tanzania.

Elimu:

Shule Ya Msingi Sanya Juu 2001-2007

Shule ya sekondari Kilingi Sanya Juu 2008-2011

Shule ya secondari Mara Boys Musoma 2012-2013 (HGE)

Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro 2014 (Hakuhitimu,Alisoma mwaka mmoja tu BAED Ya Jiografia na Uchumi)

Kazi:

Biashara ya Mabegi Na Mikoba

Biashara Usambazaji Filamu

Familia:

Mama,Ania Mohammed

Mke,Fatina Msoka 2019

Watoto,

Sabrina Salim Mhina 2018

Salahan Salim Mhina 2022

Ndugu,

Hadija Mohammed-Mama Mdogo

Iddi Mohammed-Mjomba

Latifa Hamza Mhina-Dada Mdogo

Mwanaidi Hamza Mhina-Dada Mdogo

Tabu Rashidi-Bibi Mzaa Mama

Mohammed Iddi-Babu Mzaa Mama

Dini:Muislamu

Email: salimmhina@yahoo.com