Mtumiaji:Plasticdying

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habari wa Tanzania wenzangu. Mimi naitwa "plasticdying" ni jina yangu ya kalamu, nilizaliwa Dar Es Salaam, lakini nimehama ulaya miaka zilizopita. Nimechangia Wikipedia ya Kiingereza kwa miaka 8, (natumia jina ya kalamu kiingine). Baada ya kuisihi uzunguni, nimeghaflika na kujitambua kwamba nime anza kusahau kutumia lugha ya mama. Halikadhalika nimeamua kuchangia katika Kurasa za Wikepedia za Kiswahili.

Kila mwaka na safiri kurudi nyumbani, kwa hivyo nimechukua picha nyingi za nchi yetu Tanzania.

Picha ya Pungamilia niliyochukua katika eneo la Hifadhi la Ngorongoro

Kikazi mimi nahusika na sekta ya habari.

Ukitaka kuzungumza na mimi, tafadhali tumia njia la Majadiliano