Mtumiaji:Muddyb/Kisimani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisimani
Kisimani Cover
Studio album ya Wakazi
Imetolewa 4 Aprili, 2018
Imerekodiwa 2016, 2017
Aina Hip hop

Kisimani ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa hip hip kutoka nchini Tanzania. Albamu imetoka tarehe 4 Aprili, 2018 chini ya usambazaji wa Mkito.com huku nakala za CD zilikuja kutoka baadaye.[1] Wakazi anaelezea maaana ya Kisimani ni Kila Siku Maisha Nayakabili.[2] Asili ya jina la albamu linatokana na upana wa neno kisima, anaelezea maji ya kisima wengine wanapiki, wengine wanakunywa, wengine wanafulia, wengine wanaoshea gari. Matumizi haya ya maji ya kisima huonesha umuhimu wa kitu hiki. Maji hayo ya kisima kila mmoja ana hiari yake katika matumizi haijalishi tajiri, maskini, wala namna gani. [2]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Watayarishaji[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Singo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kisimani | Wakazi (en). Qobuz. Iliwekwa mnamo 2018-06-19.
  2. 2.0 2.1 Millard Ayo (2018-03-17), FULL VIDEO: Uzinduzi wa Album ya Wakazi KISIMANI ulivyokuwa, retrieved 2018-06-19 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]