Mtumiaji:Kipala/wakabidhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kazi ya ukabidhi[hariri | hariri chanzo]

Shughuli zinazopaswa kutekelezwa na wakabidhi (lakini wote wanaweza kushiriki)[hariri | hariri chanzo]

Kwanza kila mkabidhi anatakiwa kuwezesha mfumo wa kumwandikia baruapepe. Bila hii hawezi kutumia haki zake zote.

Kuna shughuli nyingine ambazo ni muhimu sana na kila mwanawikipedia anaweza kuzitekeleza lakini kwetu hadi sasa wanawikipedia wengine hawashiriki, hivyo ni wajibu wa wakabidhi wote hasa:

  • kupitia mara kwa mara ukurasa wa Mabadiliko ya karibuni,
  • kukaribisha wageni,
  • kuangalia makala mpya na mabadiliko,
  • kupeleka makala zisizofaa kwenye ukurasa wa ufutaji,
  • kushiriki katika ufutaji (si kufuta lakini kutoa maoni kwa au dhidi ya ufutaji)
  • kuangalia wachangiaji wa mara kwa mara (sisi sote tunahitaji ukosoaji na ushauri) - mfano Mr Waxwell, pia Kipala...


Haki za pekee za wakabidhi[hariri | hariri chanzo]

(tunahitaji mapatano kuhusu sehemu zinazoonyeshwa kama viungo vyekundu)
Admin actions
Block Wikipedia:Kumzuia mchangiaji
Reblock
Unblock
Protect Kulinda makala kwa ngazi mbalimbali isihaririwe na yeyote
Reprotect
Unprotect
Delete Kufuta makala
Revision delete
Log delete
Restore
Rights kutoa haki maalumu kwa watumiaji
Merge kuunganisha makala (kawaida workaround kupitia REDIRECT)
Import (tumetekeleza kupitia kutafsiri, hatuwezi kuchukua moja kwa moja)
AbuseFilter (hatujatumia)