Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kanon jazila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tiktok inajulikana China kama Douyin (kichina: 抖音; pinyin: Dǒuyīn),ni mfumo wa utangazaji wa video fupi unaomilikiwa na kampuni ya Kichina ya ByteDance.[1]Huandaa na kutengeneza aina mbalimbali za video za watumiaji wake katika muundo wa video fupi kutoka kwenye dhamira tofauti tofauti kama vile mizaha, vichekesho, hila, ucheshi, kucheza na burudani[2] [3]kwa muda wa sekunde 15 hadi dakika kumi.[4] [5][6][7]Tiktok ni toleo la Douyin ambalo liliachiwa sokoni mnamo septemba 2016.[8]Tiktok ilizinduliwa mnamo 2017 kwa iOS na Android kwenye masoko nje ya China, hata hivyo, ilipatikana duniani kote baada tu ya kuunganishwa na huduma nyingine ya mitandao ya kijamii ya China, Musical.ly, tarehe 2 Agosti 2018.

TikTok na Douyin ni mifumo inayofanana kwa mtumiaji lakini hawana ufikiaji sawa kimaudhui. Pia huduma zao na programu husika zinapatikana kwenye soko. [9] Bidhaa hizi ni sawa ijapokuwa sifa zake zinatofautiana. Douyin inajumuisha mfumo wa utafutaji wa ndani wa nyuso za watu kwenye video zao na vipengele vingine kama vile kununua,kuweka nafasi kwenye hoteli na kufanya hakiki zenye lebo ya kijiografia.[10] Tangu kuzinduliwa mwaka2016, Tiktok and Douyin zilipata umaarufu kwa kasi karibu sehemu zote duniani.[11][12]Tiktok ilipata zaidi ya wapakuaji billioni 2 duniani kote mwezi octoba 2020.[13][14][15]Morning Consult iliorodhesha TikTok kama chapa ya tatu inayokua kwa kasi zaidi 2020, Baada tu ya Zoom na Peacock.[16] Cloudflare iliorodhesha TikTok kama tovuti maarufu ya 2021 kuzidi Google.[17]

Tiktok imesemekana kuwa chanzo cha athari za kisaikolojia kama vile uraibu pamoja na mabishano kuhusu maudhui yasiyofaa, taarifa potofu, udhibiti na faragha ya mtumiaji.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Uzinduzi

Douyin ilizinduliwa na ByteDance huko Beijing,China septemba 2016, Awali kwa jina A.me kabla ya kuibadilisha kuwa Douyin(抖音) mnamo desemba2016. [18][19]ByteDance iliweka mikakati ya kukuza Douyin nje ya nchi. Mwanzilishi Wa ByteDance,Zhang Yiming alisema “ Nchi ya china yenye zaidi ya moja ya tano ya watumiaji wa mtandao ulimwenguni. Kama hatutoweza kukua Katika kiwango cha kimataifa, hivyo tutapoteza asilimia nne ya tano ya wale Wanaotazama. Kwahiyo kukua kimataifa ni lazima.”[20]Douyin ilitengenezwa kwa siku 200 na ndani ya mwaka mmoja ilikuwa na watumiaji milioni 100 na zaidi ya video bilioni moja zilizokuwa zikitazamwa kila siku.[21][22]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mabadiliko

Douyin ilizinduliwa na ByteDance huko Beijing, China mnamo septemba 2016, awali kwa jina A.me kabla ya kuwa Douyin (抖音) disemba 2016. ByteDance ilipanga kueneza Douyin nje ya China, Mwanzilishi wa ByteDance, Zhang Yiming, alisema kuwa "China ni nyumbani yenye moja ya tano tu ya watumiaji wa mtandao duniani kote, Ikiwa hatutapanuka kwa kiwango cha kimataifa, tutapoteza kwa nne ya tanoya watumiaji wanaoangalia.

.

  1. Isaac, Mike (2020-10-08), "U.S. Appeals Injunction Against TikTok Ban", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-11-26
  2. "Top categories on TikTok by hashtag views 2020". Statista (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  3. John Bailey (2020-03-07). "The five key genres found in the world of TikTok". The Sydney Morning Herald (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  4. Heather Schwedel (2018-09-04). "A Guide to TikTok for Anyone Who Isn't a Teen". Slate Magazine (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  5. Abrar Al-Heeti. "TikTok is reportedly experimenting with 3-minute videos". CNET (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  6. Jacob Kastrenakes (2021-07-01). "TikTok is rolling out longer videos to everyone". The Verge (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  7. "TikTok Confirms that 10 Minute Video Uploads are Coming to All Users". Social Media Today (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  8. Catherine Shu (2020-09-22). "TikTok, WeChat and the growing digital divide between the US and China". TechCrunch (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  9. Ryan Broderick. "Forget The Trade War. TikTok Is China's Most Important Export Right Now". BuzzFeed News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  10. Lucas Niewenhuis (2019-09-25). "The difference between TikTok and Douyin". The China Project (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  11. Werner Geyser (2019-01-11). "TikTok Statistics – 63 TikTok Stats You Need to Know [2022 Update]". Influencer Marketing Hub. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  12. Anusha Sachwani (2019-02-15). "TikTok Downloads: Countries with Most User Base Revealed!". Brandsynario (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  13. Ashley Carman (2020-04-29). "TikTok reaches 2 billion downloads". The Verge (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  14. "抖音用户规模达5.18亿人次_新浪游戏_手机新浪网". games.sina.cn. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  15. "Pakistan blocks social media app TikTok over indecency complaint", Reuters (kwa Kiingereza), 2021-03-11, iliwekwa mnamo 2022-11-26
  16. "The Fastest Growing Brands of 2020". Morning Consult (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  17. "TikTok surpasses Google as most popular website of the year, new data suggests". NBC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  18. Sixth Tone (Mon Feb 19 23:11:00 PST 2018). "The App That Launched a Thousand Memes". #SixthTone (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
  19. "Is Douyin the Right Social Video Platform for Luxury Brands?". Jing Daily (kwa Kiingereza). 2018-03-11. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  20. https://www.researchgate.net/publication/340547035_TIKTOK%27S_RISE_TO_GLOBAL_MARKETS_1
  21. Thomas Graziani (2018-07-30). "How Douyin became China's top short-video App in 500 days". WalktheChat (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  22. Guest Editor (2018-06-15). "8 Lessons from the rise of Douyin (Tik Tok) · TechNode". TechNode (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26. {{cite web}}: |author= has generic name (help)