Mtumiaji:Jonny Frosty/Kuasili kwa siri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuasili Kwa siri ni kitendo ambacho mtoto mchanga anaasiliwa na familia nyingine,na taarifa za wazazi wake halisi zinafichwa.Mara nyingi taarifa za baba mzazi hazitunzwi hata kwenye cheti cha kuzaliwa.Kuwasili kwa mtoto ambae ni mkubwa na anaejua wazazi wake halisi haziwekwi kama siri.Hii ilikua tamaduni na njia maarufu ya kuwasili iliyofanyika kwa miongo ya kipindi cha vita ya pili ya dunia.Njia hii bado inatumika mpaka sasa ila pamoja na njia ya kuwasili kwa wazi.Taarifa zilizofichwa zinamzuia aliseasiliwa na wazazi wake halisi kujuana(haswa katika kipindi kabla ya kuwepo kwa mtandao).Kwa upande mwingine mashirika yasiyo ya kifaida na makampuni binafsi yamesaidia walioasiliwa kutafuta na kuunganishwa na ndugu zao halisi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]