Mtumiaji:Hellsepp
Wikipedia:Babel | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|


Jambo![hariri | hariri chanzo]
Au, kwa Kiswahili sanifu,
Hujambo?/Hamjambo?[hariri | hariri chanzo]
Mimi naitwa Josef HELL, kwa Kibavaria HELL Sepp (Sepp/Josef = Yusufu). Miaka iliyopita nimeitafsiri Biblia kwa Kibavaria cha Vitabuni [1], kwa msaada wa Biblia ya Kiswahili na kadhalika pia. --Hellsepp (majadiliano) 17:19, 27 Novemba 2010 (UTC)