Mtumiaji:GABBYMEDIA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

GABRIEL CARLOS WONGO ( Alizaliwa, Dar es salaam, 2 june, 2001) ni mtangazaji, mwandishi wa habari na mwanablogu kutoka nchini Tanzania.Gabriel anafaamika kama mrushaji wa taarifa za mitandaoni za kimichezo, kisiasa na burudani nchini tanzania. kwa kupitia Youtube, instagram, blog. kwa jina la GABBY MEDIA