Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Emmanuel Kasomi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:EMMANUEL KASOMI)

Sungusila ni kijiji kinacho patikana kata ya Nzera mkoani Geita Wakazi wengi wa kijiji hiki ni wasukuma japo kuna makabila mengine madogomadogo Wanakijiji wengi wanajihusisha na kilimo cha Nanasi.

WATU MAARUFU KATIKA KIJIJI HIKI NI; –Joseph kasheku(king Msukuma)

Emmanuel Kasomi Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiTalk jamiitalk.com

Kijiji hiki kina shule za misingi mbili yaani Fulwe shule ya msingi na Nyambanga(sungusila) shule ya msingi. Pia kuna kituo cha afya ambacho mwanzo ilikua zahanati ya Fulwe.

Mitaa/vitongoji vya sungusila ni Shilabela(muembeni na Shilabela), Nyalukome, Fulwe(mchangani na fulwe) na sungusila.