Nenda kwa yaliyomo

Kiki Camarena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa kihispania, sehemu ya kwanza la jina lake ni Camarena na jina la pili na la kuzaliwa Salazar.

Kuzaliwa Julai 26, 1947 - Kufa Februari 9, 1985.
Enrique Camarena Salazar Aliekua mmoja wa maofisa wa (DEA)

Enrique "Kiki" Camarena Salazar (Julai 26, 1947 - Februari 9, 1985), alikua afisa intelegensia wa Marekani kwenye shikirika la kuzuia ulanguzi wa madawa ya kulevya (DEA). Mnamo Februari mwaka 1985 alitekwa nyara na walanguzi madawa ya kulevya walioajiriwa na wanasiasa wa Mexico huko Guadalajara, Mexico. Alihojiwa kwa kuteswa na mwisho kuuwawa. Viongozi watatu wa Karume ya Guadalajara hatimae kuhukumiwa kwa mauaji ya Camarena huko Mexico. [1]

Uchunguzi wa Marekani kwenye mauaji ya Camarena yalipelekea kwa kesi zingine kumi huko Los Angeles kwa watu wa taifa la Mexico waliohusika na uhalifu huo. Muendelezo wa kesi hio ulitatiza mahusiano baina ya Marekani na Mexico (U.S.-Mexican Relation), hasa hasa pale mmoja wa watuhumiwa, Rafael Caro Quintero aliachiliwa kutoka jera mnamo 2013. Caro Quintero alishikiliwa tena na vikosi vya Mexico mnamo Julai 2022.[1][2]

Maisha ya awali na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Enrique Camarena alizaliwa Julai 26, 1974 kwenye mji mpakani wa Mexicali, Mexico. Katika familia ya kaka watatu na dada watatu, wahamiaji kwenda Calexico, California, wakati Camarena akiwa bado mtoto.[3]Wazazi wake Camarena walipeana talaka wakati akiwa mdogo na familia kupitia shida ya ufukara baada ya kuhamia[3]. Kaka mkubwa, Eduardo alijiunga na jeshi na kufa akiwa akihudumu huko Vietinam mnamo 1965. Ndugu yake mwingine Ernesto alikua na rekodi ya polisi ya matatizo, ikiwemo matatizo ya madawa ya kulevya.[4]Licha ya matatizo ya kifamilia, Camarena alihitimu elimu yake ya sekondari kwenye shule ya Sekondari Calexico mnamo mwaka 1966.[5]

Baada ya kuhitimu elimu yake ya sekondari, Camarena alijiunga na jeshi. kufuatia mchozo mwaka 1970, akarudi Calexico na kujiunga na jeshi la polisi.[4]Kutoka kwenye kazi za kawaida za jeshi la polisi, alihamia kwenye upelelezi wa siri wa madawa ya kulevya kama wakala maalum (Special Agent) kwenye kikosi kazi cha Imperial County Narcotic Task Force (ICNTF).

Baada ya kuanzishwa kwa shirika la kuzuia ulanguzi wa madawa ya kulevya kwa jina Drug Enforcement Administration (DEA) mwaka 1973, kwa haraka iliajiri wakala maalum wanaongea kihispania. Ambapoa Camarena na dada yake Myrna walijiunga na shirika hili jipya mwaka 1973, Myrna kama katibu na Camarena kama wakala maalum (Special Agent) katika ofisi mkazi ya DEA huko Calexico.[6]

  1. 1.0 1.1 "The History of Red Ribbon Week". www.dea.gov (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  2. "Enrique Camarena Case: A Forensic Nightmare | Office of Justice Programs". www.ojp.gov. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  3. 3.0 3.1 Facebook, Twitter, Show more sharing options, Facebook, Twitter, LinkedIn, Email, Copy Link URLCopied!, Print (1985-03-10). "Slain Agent 'Narc's Narc,' Friend Recalls". Los Angeles Times (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. {{cite web}}: |author= has generic name (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  4. 4.0 4.1 Shannon, Elaine (2015-09-01). Desperados: Latin Drug Lords, U.S. Lawmen, and the War America Can't Win (kwa Kiingereza). iUniverse. ISBN 978-1-4917-7598-1.
  5. "The History of Red Ribbon Week". www.dea.gov (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11.
  6. "Slain Drug Agent's Family Relives Horror Through TV Miniseries". AP NEWS (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11.