Calvin Festoalizaiwa Februari 10 2005 mkoani Mtwara Tanzania.Mama yake anaitwa Eva na baba yake anaitwa Festo,anawadogo zake ambao ni Yohana,Victor na dada yake Veronica.
Alimaliza elimu yake ya msingi mwaka 2018,sasa yupo shule ya secondari Alfagems kidato cha pili.