Mtumiaji:CJudy24/Mtoto muigizaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mtoto muigizaji ni neno linalotumika kumuelezea mtoto anayeigiza jukwaani au kwenye filamu au televisheni. Mtu mzima aliyeanza taaluma ya uigizaji toka akiwa mdogo hujulikana pia kama Mtoto muigizaji au muigizaji mtoto mkongwe. Misamiti mingine inayofanana na neno hili ni kama vile muigizaji kijana au ,muigizaji mtoto, muigizaji aliyepata umarufu akiwa mdogo.

Mifano ya waigizaji maarufu wa awali inamjumuisha Elizabeth Taylor,ambaye alianza kama mtoto nyota mwanzoni mwa mwaka 1940's katika uzalishaji kama National Velvet kabla ya kuwa nyota mkubwa wa filamu katika filamu.