Mtumiaji:BlessNathan
Mandhari
BlessNathan | |
---|---|
Amezaliwa | 17 Juni 1997 |
Kazi yake | Mwandishi wa makala za wikipedia, Mjumbe wa Wikimedia Tanzania, Mwanateknolojia, Mwandisi Mzalendo |
Wazazi | Godwin Rweikiza na Grace Rweikiza |
Ndugu | Doreen Rweikiza na Davina Rweikiza |
Tovuti | |
blessingnathaniel01@gmail.com |
Mambo rafiki!
Karibu mno katika ukurasa wa BlessNathan ambaye ni mhariri wa wikipedia wa makala mbalimbali za kijamii na mjumbe wa Wikimedia Community User Group Tanzania. Mhariri huyu ni mtaalamu wa tarakilishi (kompyuta) na TEHAMA katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.