Mohamed Abulkhir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Moftah Zaïd Abulkhir (amezaliwa 4 Machi 1978 mjini Tripoli) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea nchini Libya.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Abulkhir alikua ni miongoni mwa wachezaji katika timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Libya katika mashindano ya AfroBasket ya mwaka 2009,ambapo aliibuka na wastani wa pointi 4 kwa kila mchezo katika michezo 8[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mohamed Abulkhir Biography, Age, Height, Wife, Net Worth, Family". Celebrity Age Wiki (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-05. Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Abulkhir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.