Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Abulkhir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mohamed Abulkhir
Amezaliwa Mohamed Moftah Zaïd Abulkhir
4 Machi 1987
Tripoli, Libya
Nchi Libya Libya
Anajulikana kwa ajili ya Mchezaji wa mpira wa kikapu; Mshiriki wa timu ya taifa ya Libya (AfroBasket 2009)

Mohamed Moftah Zaïd Abulkhir (amezaliwa 4 Machi 1978 mjini Tripoli) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea nchini Libya.[1]

Abulkhir alikua ni miongoni mwa wachezaji katika timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Libya katika mashindano ya AfroBasket ya mwaka 2009,ambapo aliibuka na wastani wa pointi 4 kwa kila mchezo katika michezo 8[2]

  1. "Mohamed Abulkhir Biography, Age, Height, Wife, Net Worth, Family". Celebrity Age Wiki (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-12. Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-05. Iliwekwa mnamo 2022-12-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Abulkhir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.