Nenda kwa yaliyomo

Mto Tanaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
ramani ya Mto Tanaro
Mto Tanaro

Mto Tanaro ni wa sita nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 276.

Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi hadi kuingia katika mto Po.

Beseni lake huwa na eneo la km² 8,175.

Unapitia mikoa ya Piemonte na Liguria tu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Tanaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.