Mto Rima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Rima
mito ya nigeria

Mto Rima ni mto unaopatikana kaskazini mwa nchi ya Nigeria[1]. Upande wa kaskazini zaidi, mto huo unaungana na mto Goulbi de Maradi. Mto huu unaelekea kusini magharibi na kuungana na mto Sokoto karibu kabisa na Sokoto, kisha unaelekea mpaka kusini kuingia mto Niger.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.geonames.org/2324484/river-rima.html

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Rima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.