Mto Reno, Italia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Reno ni wa kumi nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 212.

Mto Reno

Unapitia mikoa ya Toscana na Emilia-Romagna tu hadi kuingia katika bahari ya Adria.

Beseni lake huwa na eneo la km² 4,628.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Reno, Italia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.