Mto Quay
Mto Quay (sasa River Market) ni kitongoji katika jiji la Kansas City, Missouri amacho kinajumuisha wilaya kongwe jijini Kansas.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Soko la mto huenea kaskazini hadi Mto Missouri, na limepakana na daraja la Broadway magharibi na daraja la Moyo wa Amerika mashariki. Eneo hili huwa katika eneo ambalo jiji la Kansas lilianzishwa mara ya kwanza. Jina la soko limetoka kwa soko la wakulima sehemu ya kusini ambayo ilikuwa mraba wa umma katikati wa miaka ya 1800.
Ilipata jina lake Westport Landing kwa sababu ilikuwa kituo kwenye Mto Missouri kwa ajili ya kubadilishana bidhaa katika jamii ya Westport maili tatu kusini ardhi juu zaidi iliyoendeshwa na John Calvin McCoy. McCoy alikuwa aogoze kundi la walowezi katika "Mji wa Kansas" katika kitongoji mwaka wa 1850 ambao ukawa "Mji wa Kansas" katika wa 1853.
Jina Quay lilitumiwa katika kitongoji hiki miaka ya 1970 na mwanzilishaji Marion A. Trozzolo kujihusisha na uhusiano wa Kifaransa katika kitongoji hiki kwa biashara iliyoendelea katika François Chouteau ya jamii ya Chouteauiliyoanza mwaka wa 1821. Mtazamo wa Trozzolo ni kufanya kitongoji hiki kuwa kituo cha mikahawa na maduka ya bohemian. Vita vilianza na biashara zake tatu kuchomwa na watu kadhaa kuuliwa. Vita vilikuwa sehemu ya vita vya masaibu walioskumwa nje ya ushawishi wa karata katika Las Vegas iliyohusishwa katika filamu Casino.
Soko la Mto leo
[hariri | hariri chanzo]Maghala makubwa yanabadilishwa kuwa majumba ya kiushi baa, maduka, mikahawa , na masoko ya kikabila. Makampuni kadhaa makubwa hivi karibuni yamehamia katika wilaya hii , ikiwa ni pamoja Populous, moja ya makampuni yanayoongoza ya usanifu wa michezo.
Soko la Mji ni soko kubwa la mkulima likiwa na bidhaa freshi na hufanya kazi Jumatano na wikiendi.
Makumbusho ya mashau ya Arabia huonyesha maelfu ya maelezo ya mashau na mizigo yake ambayo ilizama 1856 na kupatikana kati ya 1987-88. Makubusho haya ni miongoni mwa vivutio vya utalii jijini Kansas.
Shirika la vitongoji vya chini ya jiji katika jiji la Kansas ndio shirika rasmi la vitongji vya soko la mto.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Soko la mto katika jiji la Kansas
- Soko la jiji Ilihifadhiwa 12 Mei 2010 kwenye Wayback Machine.
- Makumbusho ya bofti ya Arabia
- KansasCity.com
- Shirika la Vitongoji vya chini ya jiji