Mto Piave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Piave
ramani ya mto Mto Piave

Mto Piave ni wa tisa nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 231.

Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi hadi kuingia katika bahari ya Adria.

Beseni lake huwa na eneo la km² 4,127.

Unapitia mikoa ya Friuli-Venezia Giulia na Veneto tu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Piave kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.