Mto Ogun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Ogun,Nigeria

Mto Ogun ni mto unaopatikana nchini Nigeria.

Chanzo chake kinapatikana kwenye jimbo la Oyo karibu na Shaki.[1] Njia yake yote ni km 480 hadi bahari ya Atlantiki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ogun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.