Mto Oglio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Oglio
ramani yaMto Oglio

Mto Oglio ni wa tano nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 280.

Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi hadi kuingia katika mto Po.

Beseni lake huwa na eneo la km² 6,649.

Unapitia mkoa wa Lombardia tu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Oglio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.