Mto Nworie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Nworie ni mto mdogo nchini Nigeria. Unaanza karibu na mji wa Owerri na kupita humo. Karibu na Nekede unaishia kwenye mto Otamiri.

Urefu wa njia yake ni km 9.2[1].

Maji ya mto huo yamechafuliwa mno na mwaka 2017 serikali ilitangaza onyo kuhusu sumu ndani yake[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Figure 2. Map of Nworie River.". ResearchGate (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-06-21. 
  2. "Danger looms in Imo over polluted Nworie River - Vanguard News", Vanguard News, 2017-01-11. (en-US) 
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Nworie kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.