Mto Messalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Messalo ni mto muhimu wa Msumbiji kaskazini mashariki (mkoa wa Niassa na mkoa wa Cabo Delgado) unaoishia katika Bahari ya Hindi.

Urefu wake ni km 530 hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Messalo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.