Mto Marico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Marico au Madikwe ni mto wa Afrika Kusini. Kuna mabwawa mengi ndani ya bonde la mto huo. [1] Groot Marico limeitwa kutokana na jina la mto Marico. [2] Mto unaungana kulia mwa kando zake na Crocodile River ambao hujulikana kama mto Limpopo.

Chanzo[hariri | hariri chanzo]

Eye of Marico, chanzo cha mto Marico.

Mto unaanza mwanzoni kabisa katika Eye of Marico, karibu na Rustenburg na Swartruggens katika jimbo la Kaskazini-Magharibi ya Afrika Kusini. Chanzo cha mto ni dolomitic shimo lillopo chini ya ardhi lenye maji masafi ambayo pia ni mazuri kwa michezo ya scuba diving .[3] Hutiririka kaskazini kama Marico mkuu na mbali kwa chini hujulikana kama Klein Marico River .[4] Kwa urefu wake hujulikana pia kama mto Madikwene , ila baada ya Sehubyane River (Sandsloot) huungana kushoto kwake na jina lake hubadilika kuwa mto Marico.[5]

Mto huendelea kutiririka kuelekea kaskazini halafu hupinda kuelekea kaskazini mashariki na kuung mpaka kati ya  South Africa na Botswana. Kwa chini maji yanapotiririka,mto Crocodile huungana na mto Marico kwa upande wake wa kulia na jina la mkondo huo hubadilika na kuwa Limpopo River. About 5 km short of the confluence the Notwane River huungana na mto Limpopo kwa upande wake wa kusini magharibi.[6]

Mabwawa katika bonde la mto Marico[hariri | hariri chanzo]

Mto Marico ni sehemu ya Crocodile (West) and Marico Water Management Area. Mabwawa katika bonde la mto ni:

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

SouthAfricanStub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Marico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.