Mto Fowey
Mdomo | Fowey estuary |
Mto Fowey ni mto katika Cornwall, Uingereza.
Huanzia -mile1 (km 1.6) kaskazini-magharibi ya Brown Willy katikae Bodmin Moor, hupitia Lanhydrock House, Restormel Castle na Lostwithiel,baadaye kunenepa katikiaMilltown kabla ya kujiunga na mtaro wa Uingereza katika Fowey. huvukika tu kwa kutumia vyombo vikubwa mile 7 (km 11) Kuna feri kati ya Fowey na Bodinnick. Barabara ya kwanza inyuvuka kwenda juu iko katika katika Lostwithiel. Mto huu una mito midogo saba, mkubwa ukiwa mto Lerryn. Sehemu ya Bonde la Fowey kati ya Doublebois na kituo cha reli Bodmin Parkway inajulikana kama bonde la Glynn (kutoka Glynn House, Cardinham). Bonde hili ni njia ya barabara kuu ya A38 na reli (iliyojengwa na kampuni ya Reli katika Cornwall mwaka wa 1859). Reli huwa juu ya ukuta wa mawe nane (tazama reli ya Cornwall ).
Matumizi ya Mto Fowey
[hariri | hariri chanzo]Uendeshaji mashau
[hariri | hariri chanzo]Mto Fowey ni maarufu katika uendeshaji wa mashau kwasababu ya asili yake ya bandari. Hapo awali imetembelewa na mashau hadi 7000 katika msimu mmoja.
Kayaking na Canoeing
[hariri | hariri chanzo]Karibu kila sehemu ya mto huu umetembelewa na kayakers na canoeists: sehemu ya whitewater juu ya moor, hadi chini kwenye kinywa.
Uvuvi
[hariri | hariri chanzo]Samaki wengi hushikiwa katika Mto Fowey wavuvi wengi wanakuja kufurahia mazingira bora ya uvuvi.
Kuapanda milima
[hariri | hariri chanzo]Mto huu una maeneo ya kupendeza na njia maalum kwa ajili ya kupanda milima na kutembea kando na mifukona katika mashamba yanayozunguka miji.
Utalii
[hariri | hariri chanzo]Bonde la Fowey hujulikan kama eneo maridadi, wengi wa wapandaji milima, watembezi,na watalii hutembelea maeneo ya maana na kula samaki freshi.
Golitha Falls
[hariri | hariri chanzo]Golitha Falls nikundi la waterfall kaskazini ya Bodmin Moor. Kuna 1 - -mile3 (km 4.8) mahali pa kutembelea kando ya mto , kutoka kwenye eneo la kuagiza magari. Mawe katika eneo hili hukanyagwa kwa uangalifu katika fuko zilizo juu.[1]
Asili ya Jina
[hariri | hariri chanzo]Jina ni hutamkwa Goleetha, linalotokan na neno zuian katika Cornish. [1]
Usafiri katika mto huu
[hariri | hariri chanzo]Huduma zA Feri
[hariri | hariri chanzo]Feri ya abiria kutoka Fowey hadi Polruan . Huduma za misimu ya joto huwa kuanzia 1 Mei - 30 Septemba kutoka Whitehouse Slip hadi saa 1815 . Kuanzia saa 1830 huduma hii huwa mjini Quay mpaka saa 2300 . Huduma zinazoendelea kuanzia Jumatatu saa 0715 - saa 0900 Jumamosi na Jumapili. Tafadhali angalia ubao wa matangazo kwa habari zaidi wakati wa Agosti. Huduma za baridi huwa 1 Oktoba - 30 Aprili kuondoka mjini Quay. Monday - Jumamosi kuanzia saa0715 mpaka saa 1900 huduma inayoendelea. Jumapili saa 1000 mpaka saa 1700 huduma inayoendelea. Huduma ya feri hufuata hali ya hewa.
Feri ya gari kutoka Fowey hadi Bodinnick . Huduma ya msimu wa joto huwa 1 Aprili - 31 Oktoba, kuanzia saa 0700 o Jumatatu - saa 0800 Jumamosi na Jumapili hadi saa 1900 . Huduma za msimu wa baridi huwa 1 Novemba - 31 Machi, na a mpaka saa 2045 au diza inapoingia (yoyote inayokuja kwanza). Huduma hii huanza saa 0700 Jumatatu - Ijumaa,saa 0800 Jumamosi na saa 0900 Jumapili. Huduma za feri ya NB Ferry huzingatia hali ya hewa.
Feri ya Abiria kutoka Fowey hadi Mevagissey ni huduma iliyopangwa ya majira kati ya Fowey na kuingizwa Mevagissey kuacha Whitehouse. Muda wa Safari ni karibu dakika 40, tafadhali angalia makaratasi au ubao wa usafiri. Njia nyingine hadi Lost Gardens katika Heligan, na kumalizia safari kwa mguu au teksi. Huduma hii hutegemea hali ya hewa.
Kukodisha kwa kayak, mashua na boti
[hariri | hariri chanzo]Kukodisha kwa Kayak / mashau
- Wakutane Cornwall, Lerryn
Kukodisha kwa boti
- Fowey Boatyard
- Huduma za upigaji mbizi Fowey
- Kukodisha kwa boti Foweye