Mto Dembi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya beseni la mto Abay.

Mto Dembi ni tawimto la mto Robe unaopatikana Ethiopia na unachangia mto Jamma, tawimto la mto Abay (Nile ya Buluu).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Dembi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.