Mto Chinde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Chinde ni mto wa Msumbiji unaopatikana katika delta ya mto Zambezi kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Chinde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.