Mto Adda, Italia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Adda
Mto Adda'

Mto Adda ni wa nne nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 313.

Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi hadi kuingia katika mto Po.

Beseni lake huwa na eneo la km² 7,979.

Unapitia mkoa wa Lombardia tu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Adda, Italia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.