Msongamano (maana)
Mandhari
Msongamano (kwa Kiingereza: density) kwa jumla ni hali ya kuwepo watu wengi au vitu vingi katika eneo, hasa kama ni finyu.
- Mara nyingi ni kiasi kilichopimwa cha vitu au viumbehai mahali fulani.
- Katika kemia ni unene wa ujazo wa kitu.
- Katika sayansi nyingine ni uwiano baina ya uzito na ukubwa wa umbo la kitu.