Msikiti wa Nurul Islam
Jump to navigation
Jump to search
Msikiti wa Nurul Islam ni msikiti unaopatikana mjini Bo-Kaap eneo la Cape Town, Afrika Kusini. Wakati ulipoanzishwa mnamo 1844, jengo lilikuwa linaweza kubeba waumini 150. Mwaka wa 2001 walilikarabati, na sasa linaweza kubeba waumini wapatao 700.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nurul Islam Mosque official website
Majiranukta kwenye ramani: 33°55′19″S 18°24′56″E / 33.92194°S 18.41556°E
![]() |
Makala kuhusu msikiti au kuhusu sehemu nyingine za kuabudia Waislamu katika eneo husika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |