Moussa Wague

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moussa Wagué (amezaliwa 4 Oktoba 1998) ni mchezaji mashuhuri wa Senegal ambaye anacheza kama beki wa kulia wa Klabu ya Uhispania FC Barcelona na timu ya taifa ya Senegal.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moussa Wague kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.