Mouloud Achour

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mouloud Achour
Achour mnamo mwaka 2012
Achour mnamo mwaka 2012
Jina la kuzaliwa Mouloud
Alizaliwa 19 Machi 1944
Alikufa 24 Desemba 2020
Nchi Algeria
Kazi yake mwandishi

Mouloud Achour (19 Machi mwaka 1944 - 24 Desemba 2020) alikuwa mwandishi, profesa, na mwandishi wa habari wa Algeria.[1][2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Achour aliwahi kuwa mwanachama na kisha kuwa mwenyekiti wa baraza kuu la Uwanzishwaji wa Umma wa Televisheni.[3] Aliagiza pia baraza la mawaziri kwa Wizara ya Mawasiliano.[4] Alihudumu kama mkurugenzi wa uhariri wa matoleo ya Casbah huko Algeria, na alikuwa na jukumu la kusimamia vitabu vilivyochapishwa Algeria mnamo mwaka 2003.[5]

Mouloud Achour alifariki tarehe 24 Desemba 2020 akiwa na umri wa miaka 76.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Achour, Cheurfi (2003). Écrivains algériens : Dictionnaire bibliographique (in French). Algiers: Casbah Éditions. ISBN 9961-64-398-4. 
  2. Mouloud Achour, le gardien des mots perdus (French). Algérie Littérature/Action (April 1997). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
  3. Ecriture du scénario : Un métier à part (French). El Moudjahid (19 January 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 24 June 2009.
  4. You must specify title = and url = when using {{cite web}}. (French). Journal officiel de la République algérienne (25 November 1991).
  5. Nous ne sommes pas perdants (French). Confluences Méditerranée (2003). Jalada kutoka ya awali juu ya 13 December 2013.
  6. Hommage à Mouloud Achour : maintenant que tu n'es plus là (French). TSA (25 December 2020).
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mouloud Achour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.